Psalms 119:1-2

Sifa Za Sheria Ya Bwana

Kujifunza Sheria Ya Bwana

1 aHeri wale walio waadilifu katika njia zao,
wanaoenenda katika sheria ya Bwana.
2 bHeri wale wanaozishika shuhuda zake,
wamtafutao kwa moyo wao wote.
Copyright information for SwhNEN